Skip to main content

Full text of "swwiki-Kimbonga-20200725.pdf"

See other formats


WikipediA 

Kimbonga 


Kimbonga (au Kimboa) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambonga . 
Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbonga imehesabiwa kuwa watu 1490. Lakini Blench (2011) 
amedai kuwa hakuna wasemaji wa Kimbonga kama lugha ya kwanza. Kwa hiyo inawezekana kuwa lugha 
imeshatoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbonga iko katika kundi la 
Kijarawan ambalo linafanana na lugha za Kibantu . 


Marejeo 


■ Blench, Roger, 2011. 'The membership and internal structure of Bantoid and the border with 
Bantu' (http://www.rogerblench.info/Language%20data/Niger-Congo/Bantoid/General/Blench% 

20Bantu%20IV%20Berlin%20Bantoid%202011.pdf) . Bantu IV, Chuo Kikuu cha Humboldt, 
Berlin. 


Viungo vya nje 


■ lugha ya Kimbonga kwenye Multitree (http://multitree.org/codes/xmb) 

■ makala za OLAC kuhusu Kimbonga (http://www.language-archives.org/language/xmb) 

■ lughaya Kimbonga katika Glottolog (http://glottolog.org/resource/languoid/id/mbonl252) 

■ http://www.ethnologue.com/language/xmb Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. 

Je, unajua kitu kuhusu Kimbonga kama historia yake, uenezi 
au maendeleo yake? 

Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha 
nyingine zinazofaa kutafsiriwa? 

Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza 
habari (https://sw.wikipedia.Org/w/index. php?stub&title=Kimbon 
ga&action=edit) . 


Rudishwa kutoka " https://sw.wikipedia.Org/w/index. php?title=Kimbonga&oldid=999925 " 


Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 19 Mei 2017, saa 15:48. 

Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya Creative Commons Attribution-ShareAlike License ; matakwa mengine 
yanaweza kutakiwa. Tazama maelezo zaidi ya Matakwa ya Utumiaji .